Mwananchi Digital
Mwananchi Digital
  • 36 415
  • 171 387 807
Polisi watapakaa mitaani Mwanza wafanyabiashara wakiendeleza mgomo
Wakati mgomo wa wafanyabiashara jijini Mwanza ukiingia siku ya pili, maofisa wa Jeshi la Polisi wanaotembea na waliopo kwenye magari wameonekana wakipita katika mitaa mbalimbali ya jijini hilo, huku maduka yakiwa hayajafunguliwa.
Kamera ya Mwananchi Digital iliyoko mtaani kuanzia saa 12:30 hadi saa 3:00 asubuhi ya leo Jumatano Juni 26, 2024, imeshuhudia magari yaliyojaa askari wa Jeshi la Polisi yakikatiza, huku baadhi ya askari polisi wakitembea kwa miguu kuzunguka mitaa ya jiji hilo.
Alipoulizwa kuhusu askari hao, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kuwasambaza askari katika mitaa ya jiji hilo, huku akidokeza kuwa jukumu lao ni kuimarisha ulinzi kwa wafanyabiashara watakaofungua maduka, ili wasifanyiwe fujo na waliogoma.
Kamanda Mutafungwa amesema ulinzi na doria hizo zitakuwa endelevu hadi hali itakaporejea katika utimamu, huku akionya watakaojaribu kuwafanyia vurugu wafanyabiashara walioridhia kufungua maduka yao.
(Imeandikwa na Mgongo Kaitira).
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Переглядів: 72

Відео

HOTUBA YA RAIS RUTO AKIHUTUBIA KENYA, WANAJESHI KUPAMBANA NA WAANDAMANAJI, WAHALIFU
Переглядів 4,5 тис.13 годин тому
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. Ikiwa ni wiki ya pili tangu maandamano ya Gen Z ya kupinga muswada wa sheria ya fedha yaanze, Rais wa Kenya, William Ruto amesema kwa sasa anaangalia zaidi usalama wa Wakenya hivyo ameliagiza Jeshi la Ulinzi (KDF) kuingilia kati katika kutuliza amani. Kauli ya Rais Ruto aliyoitoa usi...
Fahamu sababu watoto wanaofanyiwa ukatili kukaa kimya, wadau wataja mwarobaini
Переглядів 10314 годин тому
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. Wakati matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto hasa wasichana yakishamiri nchini, wadau wa masuala ya jinsia wameanika sababu nne zinazochangia mabinti kutopaza sauti na kuripoti vitendo katika mamlaka zinazohusika. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni wiki moja tangu Jeshi la Polisi mkoani...
Wajasiliamali kupewa mafunzo maalumu kuongeza ubora kwenye bidhaa
Переглядів 11715 годин тому
Jumla ya waalimu wa Ujasiliamali 20 kutoka mikoa mbalimbali hapa nchini kutoka Shirika la viwango Tanzania TBS na SIDO wamepewa mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo wa kuwafundisha wajasiliamali mbalimbali hapa nchini kwa lengo la Kuwawezesha wajasiliamali hao kutengeneza bidhaa zenye ubora kupitia bidhaa zao wanazotengeneza kwa lengo la kuongeza ubora wa Soko ndani na Nje ya nchi. Hamis Sindi M...
Jeshi la Polisi latoa kauli mgomo wa wafanyabiashara Mwanza lasema msiwe na hofu ...
Переглядів 1,8 тис.17 годин тому
Wakati baadhi ya wafanyabiashara jijini Mwanza wakigoma na kufunga maduka yao, Jeshi la Polisi limewataka walioridhia kufungua na kufanya biashara kwa amani kwa kuwa ulinzi umeimarishwa ili wasifanyiwe vurugu. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Juni 25, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa baada ya kufanya doria yenye lengo la kuangalia hali ya usalama katika mitaa mbalim...
TAZAMA MAANDAMANO KENYA WAANDAMANAJI WATINGA BUNGENI, BAADHI WAUWAWA KWA RISASI, WAONDOKA NA VITI
Переглядів 2,3 тис.17 годин тому
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Lijue Gereza la Vijana Wami Morogoro, wafungwa hawajawai kuwaza kutoroka
Переглядів 18117 годин тому
Mkuu wa Gereza la Vijana Wami lililopo Mvomero mkoani Morogoro, Abdallah Missanga amesema hilo ni gereza linalotumika kufundisha ufundi na elimu ya msingi. Amesema tofauti iliyopo baina ya gereza hilo na magereza mengine ni namna wafungwa wanavyofundwa na kujikuta hawana mawazo ya kutoroka. Gereza hilo lina maajabu yake, halina ngome na wafungwa hawatoroki. Missanga anaelezea maisha ya wafungwa...
Mwandamizi: Aweka wazi sababu za Chama kuachana na Simba, ataja watakaopewa Thank You Yanga.
Переглядів 48917 годин тому
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Kesi ya mauaji ya mfanyabiashara maarufu Moshi yapigwa Kalenda
Переглядів 1,2 тис.19 годин тому
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. Moshi.Kesi ya mauaji inayomkabili, mkazi wa Katanini, Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, Beatrice Elias Kwai(36) anayetuhumiwa kumuua mume wake, Evagro Msele(43) akiwa nyumbani kwa mzazi mwenzake imepigwa kalenda katika mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi hadi Julai 8, mwaka huu. Mshi...
Mikopo , vikoba vyatajwa mgomo Mwanza / Mwenyekiti atema nyongo
Переглядів 1,7 тис.22 години тому
Mikopo , vikoba vyatajwa mgomo Mwanza / Mwenyekiti atema nyongo
Mbeya hali ni tete maduka yafungwa, wafanyabiashara waamua kucheza mpira mbele ya biashara zao
Переглядів 7 тис.23 години тому
Mbeya hali ni tete maduka yafungwa, wafanyabiashara waamua kucheza mpira mbele ya biashara zao
Mwanza nao waliamsha maduka yafungwa tazama hali ilivyo
Переглядів 3,7 тис.2 години тому
Mwanza nao waliamsha maduka yafungwa tazama hali ilivyo
Mgomo Kariakoo bado ngoma mbichi Machinga wachekelea
Переглядів 4,3 тис.2 години тому
Mgomo Kariakoo bado ngoma mbichi Machinga wachekelea
Jumuiya ya wazazi CCM yaingilia kati sakata la 'dada poa' Dar
Переглядів 3362 години тому
Jumuiya ya wazazi CCM yaingilia kati sakata la 'dada poa' Dar
Ukaguzi magari ya wanafunzi Mwanza, RPC Mutafungwa aonya
Переглядів 3852 години тому
Ukaguzi magari ya wanafunzi Mwanza, RPC Mutafungwa aonya
DC Kilakala: Takukuru iwashughulikie waliozima POS za kukusanyia ushuru
Переглядів 752 години тому
DC Kilakala: Takukuru iwashughulikie waliozima POS za kukusanyia ushuru
Dereva wa aliyekuwa RAS Kilimanjaro azikwa, viongozi wa dini wafunguka
Переглядів 1,8 тис.2 години тому
Dereva wa aliyekuwa RAS Kilimanjaro azikwa, viongozi wa dini wafunguka
Mpina asimamishwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge
Переглядів 1,7 тис.2 години тому
Mpina asimamishwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge
Mbunge amshauri Mpina kujiuzulu ubunge
Переглядів 1,1 тис.2 години тому
Mbunge amshauri Mpina kujiuzulu ubunge
Mamia ya waombolezaji wafurika kumzika aliyekuwa dereva wa RAS Kilimanjaro
Переглядів 9172 години тому
Mamia ya waombolezaji wafurika kumzika aliyekuwa dereva wa RAS Kilimanjaro
Mbunge wa Konde amuhurumia Mpina "afikiriwe ni mbunge mwenzetu"
Переглядів 2,2 тис.2 години тому
Mbunge wa Konde amuhurumia Mpina "afikiriwe ni mbunge mwenzetu"
Kamati yapendekeza Mpina kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 10 vya Bunge
Переглядів 1,7 тис.2 години тому
Kamati yapendekeza Mpina kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 10 vya Bunge
SERIKALI YASITISHA UKAGUZI WA EFD KWA WAFANYABIASHARA KARIAKOO
Переглядів 1,2 тис.2 години тому
SERIKALI YASITISHA UKAGUZI WA EFD KWA WAFANYABIASHARA KARIAKOO
KARIAKOO BADO NGOMA NGUMU MPAKA SASA HAKUNA DUKA LILILOFUNGULIWA
Переглядів 4282 години тому
KARIAKOO BADO NGOMA NGUMU MPAKA SASA HAKUNA DUKA LILILOFUNGULIWA
Tafiti: Zaidi ya asilimia 54 ya wanawake Kinondoni wanajichubua
Переглядів 3882 години тому
Tafiti: Zaidi ya asilimia 54 ya wanawake Kinondoni wanajichubua
TIBA YA MIONZI BADO KIGUGUMIZI, WAGONJWA WAFUNGUKA WANAYOPITIA
Переглядів 3222 години тому
TIBA YA MIONZI BADO KIGUGUMIZI, WAGONJWA WAFUNGUKA WANAYOPITIA
Naibu Waziri Kundo atoa agizo wananchi 8, 000 Muheza wapatiwe huduma ya maji
Переглядів 832 години тому
Naibu Waziri Kundo atoa agizo wananchi 8, 000 Muheza wapatiwe huduma ya maji
Mbunge Ndaisaba ataka Temesa kufumuliwa, 'inatukwaza, imekuwa kikwazo kwa utendaji kazi wao"
Переглядів 2132 години тому
Mbunge Ndaisaba ataka Temesa kufumuliwa, 'inatukwaza, imekuwa kikwazo kwa utendaji kazi wao"
Kauli ya RC Chalamila baada ya kufika Kariakoo, awapiga biti watakaowafanyia vurugu waliofungua
Переглядів 28 тис.2 години тому
Kauli ya RC Chalamila baada ya kufika Kariakoo, awapiga biti watakaowafanyia vurugu waliofungua
Sintofahamu maduka yakifungwa Kariakoo, wafanyabiashara wakaa nje
Переглядів 6 тис.4 години тому
Sintofahamu maduka yakifungwa Kariakoo, wafanyabiashara wakaa nje

КОМЕНТАРІ

  • @MaryamuJuma-sr8fv
    @MaryamuJuma-sr8fv 5 хвилин тому

    Tunakupenda baba hetu umejitahidi sana

  • @ismailmaulid1616
    @ismailmaulid1616 25 хвилин тому

    Anakitu huyu

  • @BraisonMeela
    @BraisonMeela 43 хвилини тому

    Hivi Nia ya adhabu ya kumzuia mbunge kuhudhuria vikao bungeni ni kumnyima hizo posho za vikao au Kuna lengo lingine? Maana adhabu hii inawanyima haki wapiga kuran wake. Kuna haha ya kureview adhabu hii.

  • @EdwardKisota
    @EdwardKisota Годину тому

    Extremely attack, this is so bad😢

  • @user-mk9tc8bj3y
    @user-mk9tc8bj3y Годину тому

    Habar kaka msukuma mimi ni mtanzania naitwa innosent mbatia nakuomba mawasiriano nawe

  • @MudyBlackson
    @MudyBlackson Годину тому

    Askari wake

  • @PachaPanga
    @PachaPanga Годину тому

    Fratei unatupigania sana mungu akupe miaka mingi

  • @MudyBlackson
    @MudyBlackson 2 години тому

    Daaahh!! Ivi uyu jommba ni akili zake

  • @MageniDaniel-jl5nh
    @MageniDaniel-jl5nh 2 години тому

    Mhhh! Mpina amepambana na mfumo hawezi kutoboa hata kama amesema ya kweli 100% lazma aondoke yeye mfumo ubaki lakini cyo kuuondoa mfumo.

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 години тому

    Uhuru ukizidi ndo tunafikia huku,,,,maandamano yamegeuka kuwa uhaini

  • @user-vs5ow5jt1w
    @user-vs5ow5jt1w 3 години тому

    Mama kwa bahati ni mtu mzima sijui ninge kuambiaje

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 3 години тому

    Wamarekani washakuloga uache kujipendekeza kwa manyang'au

  • @ClaudiaShirima
    @ClaudiaShirima 3 години тому

    Jamaniii. Huyo mume ni muuzaji na katili Sana. Anasahau aluspa kumtunza mkewe, ni ubavu wake ksmzalua watoto na anaitwa baba? Ataona mwanaume mwingine ila mwenzetu kudhamoiteza mwanae. Damu ya mke wake hsitamwacha salama. Pole Sana mwanamke mwenzangu kwa kufiwa na binti yako. Ni msiba wetu Sote naamini Sheria utachukua mkondo wake iwe fundisho kwa mwengine

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 3 години тому

    Ruto jiuzulu tu ishaenda kuchukuw kikoi marekanhata wanahesabu hawakupend unataka wapeleke Haiti na Yemeni kwa maslahi gani ya Kenya au Africa?

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 4 години тому

    Waalike kabisa wanajeshi nauwaalike malangapi nawakati pia walikuwenlmo wamevaa nguo za j u

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 4 години тому

    Wewe bado unajifanya unahasira utajua hujui

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 години тому

    wanatakiwa wampige risasi tu

  • @bakarhassan2364
    @bakarhassan2364 5 годин тому

    SUKARI ILIMTOA KATIKA UWAZIRI MAREHEMU WAZIRI FULANI ,WAHENGA WANAKUMBUKA ,ALIEPEWA KAPEWA ,,,,,WALIIMBA WAKAE,HUYU NI KIJANA ANGEKOSEA PASINGE TOSHA,USHAURI TAASISI ZIACHE KUDANDIA HOJA ZINAFEDHEKA HAPA KUNA JAMBO LA KUJIFUNZA

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 5 годин тому

    Tatizo sio TRA ni mwigulu na serikali yake ..!! Reject finance Bill ..Wanakopa hovyo hovyo ,wanatukamua ili kulipa deni

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 5 годин тому

    Pinga finance bill ya Tanzania ambayo imeandaliwa na kilaza Mwigulu

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 5 годин тому

    Uchia ngaz watu wengine wataware huna rorote mshilika wa mashoga

  • @abdulsuccessmahussein2563
    @abdulsuccessmahussein2563 5 годин тому

    Sasa si aanze kusalimia ndipo aendelee na msimamo

  • @user-ec1pe9yy2h
    @user-ec1pe9yy2h 7 годин тому

    Mdee Good

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 8 годин тому

    They not criminal Ruto u are criminal they citizens of Kenya

  • @imanuelmalya1511
    @imanuelmalya1511 9 годин тому

    Iko siku hasira ya Mungu atalipuka juu ya dhuluma nchi hii....freedom is coming tomorrow

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 10 годин тому

    Huyo bwege ni moumbavu nini? Yaani anaalika jeshi kupambana na waandamanaji? Kwanini asiwasikilize? Sisi hatuko tayari kupokea wakimbizi mbwa wewe, kura za Raila uliiba za nini? Wacha laana ikutafune mizi we!

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb 10 годин тому

    Wenzetu wanaweka nguvu ya kushindana na taifa kwa taifa cc tunaweka nguvu kushindana na wananchi yani unanoa kisu ujichinje mwenyewe

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb 10 годин тому

    Africa changes not today not tomorrow

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb 10 годин тому

    Africa itabadilika baada ya miaka 1000 not today not tomorrow

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 10 годин тому

    Jinga ww

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 10 годин тому

    Pipa na mfuniko

  • @salimsalim-ut4jk
    @salimsalim-ut4jk 11 годин тому

    Kiongozi anapanda v8 lkn hatumii muda wake kufikiri jinsi ya kutumia raslimali zilizopo kuendesha nchi na hpo ndo penye kipimo cha uongoz wa mtu

  • @elishabarongo6794
    @elishabarongo6794 11 годин тому

    Jamaa anasoma kama hajaenda shule

  • @elishabarongo6794
    @elishabarongo6794 11 годин тому

    Jamaa anasoma kama hajaenda shule

  • @salimsalim-ut4jk
    @salimsalim-ut4jk 12 годин тому

    Kama viongozi wangalikuwa wanapambana na Hali za wananchi waliowachagua au kusaidia kutwaa madarak bas haya yote yasingalitokea na huko mbeleni bara africa likumbw na changamoto kubwa sana kwa kua Kadri siku zinavyosonga miji inakuwa na vijana wengi ambao hawana kazi maalum za kufany Sasa hawa ni rahis kuwashawishi kufanya tukio lolote. Uongozi sio kuongea tu nikufikiri sana na kutengeneza mazingira bora watu wakajituma kupata mahitaji

  • @EliaoleshengEa-pv8fu
    @EliaoleshengEa-pv8fu 12 годин тому

    Hi

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 12 годин тому

    Angalia wapiga debe wengine,umezeeka hujui unachokiongea,eti samia hafananishwi,hiloooooo...

  • @jonasjonas8111
    @jonasjonas8111 12 годин тому

    The problem with kenyans' politics is, most of of ex- gvt leaders do not like Ruto to be in power from day one in the office, so they have been tryng as much much as they can to overthrow him out of the office at any cost. So if Ruto wont be strong enough would have already resign. Bt my opinion is that Ruto should first implement of what people demand current so as to resolve the existing problem while trying to look the way foward on the alternative source of raising national income.I knw he is in the bitter office today bt he must be strong

  • @barikilevava-rx7du
    @barikilevava-rx7du 12 годин тому

    Yuko saw kabsa

  • @barikilevava-rx7du
    @barikilevava-rx7du 12 годин тому

    Mungu anawaona Kwa ujinga wenu wakati mwngne mmekaa kama mmechanganyikiwa bore mungu awatumie nyuki mliwe Hadi mseme ukweli

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 12 годин тому

    Mnafanya nini bungeni sasa kama kila kitu ni NDIOOO

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 12 годин тому

    Unamshtaki mwizi mla rushwa unageuziwa kibao wabunge mnajisikia je hata ukweli wa wazi mnaukataa mnamwakilisha nani

  • @barikilevava-rx7du
    @barikilevava-rx7du 12 годин тому

    Nyinyi mmechangsnyikiwa mnawaza ujinga na ukenge

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 12 годин тому

    Africa bado tunakazi kubwa sana yakuchagua viongozi watakao kuwa na maamuzi sahihi ya nchi zetu wengi tulonao wako kama maajenti wa nchi zilizoendelea wanakopa wanakuja kuleta mzigo mkubwa kwa wananchi wao

  • @Moneyprinter7
    @Moneyprinter7 13 годин тому

    bandari hamkujadili hivyo ila mtu mnamjadili hivyo......

  • @Moneyprinter7
    @Moneyprinter7 13 годин тому

    BUNGE LINA WATU DUNI SANA huyu kusoma tu hajui sheria atatunga vipi ?

  • @MasoudSultan-ks6kc
    @MasoudSultan-ks6kc 13 годин тому

    WANAMAKUSUDI SANA WANATUFILISI KAMA HATUNA HAKI YA KUISHI

  • @eddiqota
    @eddiqota 13 годин тому

    katika kampeni alitumia zaidi ya 80% lugha ya kiswahili ila kwa sasa rais anatumia zaidi ya 80% kiengereza hawa ndio marais wa afrika mashariki sio waadilifu hata kwenye lugha tu

  • @PhilipOgeto
    @PhilipOgeto 13 годин тому

    Waha

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 13 годин тому

    NI UPUUZ SAS UKIFUNGA UNAMKOMOA NAN WENGINE MMECHUKUA MIKOPO BENK AF ET MNAFUNGA BIASHARA SOMETIME TUMIEN AKILI SIO MATOPE HAPO HAMUIKOMOI SELIKAL